Ufafanuzi wa pangua katika Kiswahili

pangua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa mpango au utaratibu wa vitu vilivyowekwa pamoja.

    vuruga, changua, vunja

Matamshi

pangua

/panguwa/