Ufafanuzi wa papai katika Kiswahili

papai

nominoPlural mapapai

  • 1

    tunda kubwa linaloliwa, lenye uwazi katikati na tumba ndogondogo nyeusi ambalo ni tamu linapoiva.

Asili

Khi

Matamshi

papai

/papaji/