Ufafanuzi wa papasa katika Kiswahili

papasa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    gusagusa taratibu, agh. kwa vidole au mkono.

  • 2

    gusa polepole na juujuu.

    nyegeresha

Matamshi

papasa

/papasa/