Ufafanuzi msingi wa papasi katika Kiswahili

: papasi1papasi2

papasi1

nominoPlural papasi, Plural mapapasi

  • 1

    mdudu mwenye umbo la kunguni lakini mkubwa kidogo na mweupe ambaye huishi kwenye vumbi, hufyonza damu ya kiumbe na huleta homa ya vipindi kwa binadamu.

Ufafanuzi msingi wa papasi katika Kiswahili

: papasi1papasi2

papasi2

nominoPlural papasi, Plural mapapasi

  • 1

    vitu kama nywele walivyo navyo baadhi ya wadudu na ambavyo huvitumia kwa kuhisia au kutafutia chakula.

Matamshi

papasi

/papasi/