Ufafanuzi wa papatika katika Kiswahili

papatika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    rukaruka na kupiga mbawa kwa kuhangaika k.v. afanyavyo kuku au ndege anaposhikwa mtegoni au anapochinjwa.

  • 2

    hangaika huku na huku, agh. baada ya kufikwa na jambo.

    fadhaika

Matamshi

papatika

/papatika/