Ufafanuzi msingi wa papo katika Kiswahili

: papo1papo2

papo1

nominoPlural mapapo

  • 1

    pigo la moyo.

Ufafanuzi msingi wa papo katika Kiswahili

: papo1papo2

papo2

kielezi

  • 1

    kwa wakati uleule; bila kuchelewa.

    ‘Papo hapo’
    methali ‘Papo kwa papo kamba hukata jiwe’

Matamshi

papo

/papÉ”/