Ufafanuzi wa papua katika Kiswahili

papua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    fanya iwe kubwa au pana zaidi.

Matamshi

papua

/papua/