Ufafanuzi wa papuri katika Kiswahili

papuri

nomino

  • 1

    mkate mwembamba wa Kihindi ambao unatengenezwa kwa unga wa ngano uliochanganywa na choroko, dengu na pilipili.

Asili

Khi

Matamshi

papuri

/papuri/