Ufafanuzi wa parachichi katika Kiswahili

parachichi

nominoPlural maparachichi

  • 1

    tunda lenye kokwa ndani na nyama ya kijani.

    pea

Matamshi

parachichi

/paratʃitʃi/