Ufafanuzi wa parade katika Kiswahili

parade

nominoPlural maparade

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba nene zinazotumiwa katika vyombo vya baharini k.v. jahazi au meli.

Asili

Kng

Matamshi

parade

/paradɛ/