Ufafanuzi wa paragrafu katika Kiswahili

paragrafu

nominoPlural maparagrafu

  • 1

    fungu la maneno katika maandishi linaloeleza wazo kamili.

    aya, fasili

Asili

Kng

Matamshi

paragrafu

/paragrafu/