Ufafanuzi wa parakacha katika Kiswahili

parakacha

nominoPlural parakacha

  • 1

    sauti kama ile inayotokea baada ya majani makavu kukanyagwa.

  • 2

    neno linalotumika katika msemo ili kuelezea kuondoka kwa ghafla kwa mtu au mnyama.

    ‘Alipoona atashikwa, mara tukasikia parakacha akakimbia’

Matamshi

parakacha

/parakatʃa/