Ufafanuzi wa parakasa katika Kiswahili

parakasa

kitenzi elekezi

  • 1

    kimbia kwa kasi sana; timua mbio.

    ‘Bakari aliziparakasa mbio’

Matamshi

parakasa

/parakasa/