Ufafanuzi wa parama katika Kiswahili

parama

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa hali ya umbo la ulaini kutokana na ukosefu wa vitu vya lazima katika kukua.

    ‘Mnazi umeparama’
    ‘Uso wake umeparama’

Matamshi

parama

/parama/