Ufafanuzi wa paramia katika Kiswahili

paramia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    kwea k.v. kwenye mti au ukuta kwa haraka bila ya kutumia vipago au ngazi.

  • 2

    ingilia jambo lisilokuhusu.

Matamshi

paramia

/paramija/