Ufafanuzi wa paria katika Kiswahili

paria

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha, ~wa

  • 1

    chukua pesa au kitu cha mtu baada ya kuliwa katika mchezo wa kamari.

Matamshi

paria

/parija/