Ufafanuzi wa paroko katika Kiswahili

paroko

nominoPlural maparoko

Kidini
  • 1

    Kidini
    padri ambaye ni mkuu wa parokia.

Asili

Kng

Matamshi

paroko

/parɔkɔ/