Ufafanuzi wa parura katika Kiswahili

parura

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kuna au kwangura kwa nguvu kwa kucha k.v. kuku au paka anavyofanya anaporukia mtu.

Matamshi

parura

/parura/