Ufafanuzi wa Pasaka katika Kiswahili

Pasaka

nominoPlural Pasaka

Kidini
  • 1

    Kidini
    sikukuu ambayo Wakristo husherehekea kufufuka kwa Yesu.

Asili

Kbr

Matamshi

Pasaka

/pasaka/