Ufafanuzi msingi wa pasha katika Kiswahili

: pasha1pasha2

pasha1

nominoPlural pasha

 • 1

  ndege wa kijivu mwenye baka jekundu kifuani.

  kweche

Matamshi

pasha

/pa∫a/

Ufafanuzi msingi wa pasha katika Kiswahili

: pasha1pasha2

pasha2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa

 • 1

  sababisha kuenea.

  ‘Pasha habari’

 • 2

  sababisha kupata.

  ‘Pasha moto’

 • 3

  ingia barabara, agh. rangi.

  ‘Hina niliyopaka imepasha sana’
  kolea

 • 4

  eleza au toa habari.

Matamshi

pasha

/pa∫a/