Ufafanuzi wa pasipoti katika Kiswahili

pasipoti, pasi

nominoPlural pasipoti

  • 1

    hati inayomruhusu mtu kuingia au kutoka mahali; hati ya kusafiria.

  • 2

    hati ya uraia inayotolewa na serikali ili kumruhusu mtu kusafiri nje ya nchi.

  • 3

Asili

Kng

Matamshi

pasipoti

/pasipɔti/