Ufafanuzi wa pasuka katika Kiswahili

pasuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    chanika au vunjika na kuwa vipande.

    chanika

Matamshi

pasuka

/pasuka/