Ufafanuzi wa patashika katika Kiswahili

patashika

nominoPlural patashika

  • 1

    hali ya kuwania au kugombea kitu fulani kwa nguvu na vishindo.

Matamshi

patashika

/pata∫ika/