Ufafanuzi wa Pate katika Kiswahili

Pate

nominoPlural Pate

  • 1

    kisiwa kilicho Kaskazini ya Kenya ambapo lahaja ya Kipate huzungumzwa.

Matamshi

Pate

/patɛ/