Ufafanuzi wa patikana katika Kiswahili

patikana

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    weza kuonekana k.v. madukani au sokoni.

    ‘Siku hizi runinga zinapatikana kwa wingi’

Matamshi

patikana

/patikana/