Ufafanuzi wa patisi katika Kiswahili

patisi

nominoPlural patisi

  • 1

    kitambaa kirefu cha sufu kinachozungushwa miguuni kama stokingi, agh. huvaliwa na askari.

Matamshi

patisi

/patisi/