Ufafanuzi wa patwa kwa mwezi katika Kiswahili

patwa kwa mwezi

  • 1

    tukio la dunia kuwa katikati ya mwezi na jua na kutupa kivuli chake juu ya mwezi wakati jua, mwezi na dunia vikiwa katika mstari mmoja na kusababisha mwezi usiakisi nuru ya jua.