Ufafanuzi msingi wa pau katika Kiswahili

: pau1pau2pau3

pau1

nomino

  • 1

    mti unaokingama kati ya mwamba na mtambaapanya unaowekwa kwenye paa la nyumba.

Matamshi

pau

/pawu/

Ufafanuzi msingi wa pau katika Kiswahili

: pau1pau2pau3

pau2

nomino

  • 1

    ng’anda ya karata iliyo nyeusi yenye umbo la jani lenye mapande matatu na kikonyo kimoja.

Matamshi

pau

/pawu/

Ufafanuzi msingi wa pau katika Kiswahili

: pau1pau2pau3

pau3

nomino

  • 1

    mkate wa boflo.

Matamshi

pau

/pawu/