Ufafanuzi wa pauka katika Kiswahili

pauka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  poteza rangi, agh. kwa kuanikwa sana juani.

  ‘Sare yake ya shule imepauka sana’
  parara, kwajuka

 • 2

  fifia ngozi na kauka.

  konda

Matamshi

pauka

/pawuka/