Ufafanuzi msingi wa pauni katika Kiswahili

: pauni1pauni2

pauni1

nominoPlural pauni

  • 1

    fedha zinazotumiwa Uingereza na nchi nyingine.

Asili

Kng

Matamshi

pauni

/pawuni/

Ufafanuzi msingi wa pauni katika Kiswahili

: pauni1pauni2

pauni2

nominoPlural pauni

  • 1

    kipimo cha uzito wa wakia 16 au kilo 0.45.

    ratili

Asili

Kng

Matamshi

pauni

/pawuni/