Ufafanuzi wa payapaya katika Kiswahili

payapaya

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    sema maneno yasiyo na maana.

    bwata, payuka, bwabwaja, ropoka

  • 2

    kosa kutulia mahali pamoja.

    hangaika, wayawaya, taataa, tapatapa

Matamshi

payapaya

/pajapaja/