Ufafanuzi msingi wa payo katika Kiswahili

: payo1payo2

payo1

nominoPlural mapayo

  • 1

    tabia ya kupenda kusema sana au kuropoka.

Matamshi

payo

/pajɔ/

Ufafanuzi msingi wa payo katika Kiswahili

: payo1payo2

payo2

nominoPlural mapayo

  • 1

    tabia ya uzinzi.

Matamshi

payo

/pajɔ/