Ufafanuzi wa pegi katika Kiswahili

pegi

nominoPlural pegi

  • 1

    kipimo kidogo cha kinywaji kikali k.v. wiski au brandi.

Asili

Kng

Matamshi

pegi

/pɛgi/