Ufafanuzi wa peke katika Kiswahili

peke

kielezi

  • 1

    neno la kusisitiza upekee wa mtu au kitu.

Matamshi

peke

/pɛkɛ/