Ufafanuzi wa pekecho katika Kiswahili

pekecho

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kupekechea.

  • 2

    tendo la kupekecha.

Matamshi

pekecho

/pɛkɛtʃɔ/