Ufafanuzi wa pekee katika Kiswahili

pekee

kielezi

  • 1

    bila ya -ingine.

    ‘Kitabu kilichobaki ni hiki pekee’
    pweke

Matamshi

pekee

/pɛkɛ:/