Ufafanuzi wa pekepeke katika Kiswahili

pekepeke

nomino

  • 1

    tabia ya uchongezi na usengenyaji; tabia ya ufitini.

    ‘Ameshaanza pekepeke’

Matamshi

pekepeke

/pɛkɛpɛkɛ/