Ufafanuzi wa pekua katika Kiswahili

pekua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    tafuta kwa kuondoa au kuinua kilicho juu.

    chakura

  • 2

    peleleza, chungua, dabiri

Matamshi

pekua

/pɛkuwa/