Ufafanuzi wa peleka katika Kiswahili

peleka

kitenzi elekezi

  • 1

    wasilisha mtu au kitu mahali fulani.

Matamshi

peleka

/pɛlɛka/