Ufafanuzi msingi wa pemba katika Kiswahili

: Pemba1pemba2

Pemba1

nomino

 • 1

  kisiwa kilicho Kaskazini mwa Unguja na karibu na Tanga.

Matamshi

Pemba

/pɛmba/

Ufafanuzi msingi wa pemba katika Kiswahili

: Pemba1pemba2

pemba2

kitenzi elekezi

 • 1

  laghai kwa maneno ili kupata kitu.

  pembeja

 • 2

  dadisi mtu kwa hekima.

Matamshi

pemba

/pɛmba/