Ufafanuzi msingi wa pembe katika Kiswahili

: pembe1pembe2

pembe1

nominoPlural pembe

  • 1

    kitu kama mfupa chenye uwazi ndani na chenye ncha upande mmoja kinachomea kwenye vichwa vya baadhi ya wanyama.

  • 2

    baragumu

Matamshi

pembe

/pɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa pembe katika Kiswahili

: pembe1pembe2

pembe2

nominoPlural pembe

  • 1

    ncha za vitu viwili au zaidi zinapokutana.

Matamshi

pembe

/pɛmbɛ/