Ufafanuzi msingi wa pembeni katika Kiswahili

: pembeni1pembeni2

pembeni1

nominoPlural pembeni

  • 1

    eneo lililo kando ya kitu fulani.

    faragha

Matamshi

pembeni

/pɛmbɛni/

Ufafanuzi msingi wa pembeni katika Kiswahili

: pembeni1pembeni2

pembeni2

kihusishi

  • 1

    katika eneo lililo kando.

Matamshi

pembeni

/pɛmbɛni/