Ufafanuzi wa pembenne katika Kiswahili

pembenne

nominoPlural pembenne

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lililoundwa kwa mistari minne inayokutana katika ncha nne.

Matamshi

pembenne

/pɛmbɛnnɛ/