Ufafanuzi wa pembetatu katika Kiswahili

pembetatu

nominoPlural pembetatu

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lililoundwa kwa mistari mitatu inayokutana katika ncha tatu.

Matamshi

pembetatu

/pɛmbɛtatu/