Ufafanuzi wa pembetatu sawa katika Kiswahili

pembetatu sawa

nominoPlural pembetatu sawa

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lililoundwa kwa mistari mitatu inayokutana katika ncha tatu zinazolingana.

Matamshi

pembetatu sawa

/pɛmbɛtatu sawa/