Ufafanuzi wa pena katika Kiswahili

pena

kitenzi elekezi

  • 1

    zungusha chombo k.v. mtumbwi, n.k. kwa kupiga makasia.

  • 2

    piga duara.

Matamshi

pena

/pɛna/