Ufafanuzi wa penalti katika Kiswahili

penalti

nominoPlural penalti

  • 1

    adhabu itolewayo kwa timu ambayo mchezaji wake amekiuka sheria za mchezo, kwa kawaida adhabu kwa mpira wa miguu ni kupiga mpira kuelekea goli la timu ambayo mchezaji wake amekiuka sheria za mchezo katika eneo la goli lake kwa kuzuiliwa na mlinda lango peke yake.

Asili

Kng

Matamshi

penalti

/pɛnalti/