Ufafanuzi wa pendekezo katika Kiswahili

pendekezo

nomino

  • 1

    rai au fikira inayotolewa na mtu kwenye mikutano au mjadala ili ijadiliwe na kutolewa uamuzi.

Matamshi

pendekezo

/pɛndɛkɛzɔ/