Ufafanuzi wa pendelea katika Kiswahili

pendelea

kitenzi elekezi~ana, ~wa

  • 1

    -pa mtu haki asiyostahiki au zaidi ya mwingine mwenye haki sawa naye.

Matamshi

pendelea

/pɛndɛlɛa/