Ufafanuzi wa penga katika Kiswahili

penga

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa pumzi kwa nguvu kupitia puani.

Matamshi

penga

/pɛnga/